Fungua Fursa za Mapato ya Ziada
Jiunge na Safiri Wakala ili uweze kupata mapato ya ziada! Kwa programu yetu, unaweza kutoa huduma kwa jamii kama kuuza tiketi za usafiri za ndege, basi, boti, treni. Usichelewe na fursa kama hii ya kuongeza mapato yako!








